Wahaya hoyeeee!

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Yaani imekuwa kinyume nyume[emoji16][emoji16]mambo mengi mno na ndiyo kwanza hata nusu ya novemba bado.
I'm sore...nilisahau kusalimia wananzengo.
Mambo yalianzia huko Tunduru jamaa akaona isiwe taabu,risasi tatu zikazama mkichwa cha mrembo,mama wa mwanae kabisa! Mmh mapenzi bhana!Sasa sijui Nani anakatunza katoto kale. Sijui kwanini baharia hakumuacha aende kufia mbele.
Hatujasahau hilo likaja hili la Ebitoke,(ila mimi binafsi nimemuelewa kinoma) baharia aka marioo mpenda kitonga amemchuna vipesa vyake haswa !akaamua kukunja ngumi.
Mtu anakulaje pesa yako kizembezembe tu...?piga yeye ngumi za maana,silaha za moto tunza kwa mambo ya maana.
Bigup Ebitoke.wahaya hawataki mchezo aisee.,Bora mwaka uishe tu.
 
Ebitoke sio mhaya,ana-act sauti ya wahaya...na alishawahi kulisema hilo

Halafu mwanamke kumpiga mwanaume ni jambo la kushadadiwa kabisa na hiyo oyeee e??kweli wagonjwa mko wengi
La kushadiwa ni wewe kupigwa au! Heshimu hisia za wengine mkuu!
 
daaa yn hata cjaelewa chcht, au nipo outdated.!
 
Ebitoke sio mhaya,ana-act sauti ya wahaya...na alishawahi kulisema hilo

Halafu mwanamke kumpiga mwanaume ni jambo la kushadadiwa kabisa na hiyo oyeee e??kweli wagonjwa mko wengi
Japo sijasoma uzi kusoma comment yako tu nimeelewa maudhui ya Uzi mzima
 
Napataga tabu sana kumsikiliza yule mdada, akiongea aibu huwa naona mimi.

Kuna clipp mmoja nimemsikiliza anasema huyo mlela amlipe hela ya boksa alizomnunulia na zawadi nyingine.
Inasikitisha sana.
cc mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…