ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Yaani imekuwa kinyume nyume[emoji16][emoji16]mambo mengi mno na ndiyo kwanza hata nusu ya novemba bado.
I'm sore...nilisahau kusalimia wananzengo.
Mambo yalianzia huko Tunduru jamaa akaona isiwe taabu,risasi tatu zikazama mkichwa cha mrembo,mama wa mwanae kabisa! Mmh mapenzi bhana!Sasa sijui Nani anakatunza katoto kale. Sijui kwanini baharia hakumuacha aende kufia mbele.
Hatujasahau hilo likaja hili la Ebitoke,(ila mimi binafsi nimemuelewa kinoma) baharia aka marioo mpenda kitonga amemchuna vipesa vyake haswa !akaamua kukunja ngumi.
Mtu anakulaje pesa yako kizembezembe tu...?piga yeye ngumi za maana,silaha za moto tunza kwa mambo ya maana.
Bigup Ebitoke.wahaya hawataki mchezo aisee.,Bora mwaka uishe tu.