Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thisz true ma nigga....Haahaaaa, kweli ni watu wa big things kama vile UKIMWI wao hawaugui kisonono,.
Haloooo we kijaana unautaniii na Marine Kamugisha?
Kama ya ugandaWanapigana vita international
Mic u [emoji12] [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha weee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahaya wamezidi sifa jamani khah!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k
Ha! Hii Kali.Haahaaaa, kweli ni watu wa big things kama vile UKIMWI wao hawaugui kisonono,.
Mwendelezo wa mbwembweWahaya tunaheshimika kwa kuwa wengi wetu ni WASOMI na tumefanikiwa sana kimaisha.
Wahaya tumetoa wasomi wa kuheshimika duniani wakiwemo Prof. Tibaijuka, Prof. Kamuzora, Prof. Rwegoshora nkMwendelezo wa mbwembwe