Wahaya kwa misifa noma sana

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
5,730
Reaction score
11,576
Mchaga hata akiwa meneja wa benki ukimuuliza,mr Njau unafanya kazi gani atakujibu"nafanya kibarua pale nmb.
sasa kutana na mhaya anayefanya kazi kwenye mashine ya kusaga mahindi,halafu muulize mr Mutashobya unafanya kazi gani utasikia
"Olaitaa olaitaa olaitaa asante mabibi na mabwana ni mimi mr Mutashobya meneja mkuu kwenye kampuni ya monocotyledoni finalizing company yenye makao makuu nchini marekani nilienda uko nikiwa na ferari mpya kabisa bilion tatu ikiwa imejaa mafuta nilimwona Trump na yule kijana wa nyumbani mr Obama.....
 
hahahhahhhahah this truth made my day
 
Naona umechukua meseji za mitandaon na kuufanya uzi wa JF, nadhan ukimaliza hapo unaanza kuponda CCM na kusema vyuma vinajikaza
 
Naona umechukua meseji za mitandaon na kuufanya uzi wa JF, nadhan ukimaliza hapo unaanza kuponda CCM na kusema vyuma vinajikaza
jina Mwombeki lazima wewe ni mhaya,kumbuka mimi ni team Magufuli.waguma chonka iwe msheija
 


Na hapo anajisifia sifa za hajabu ila bado mtu mzima (govi)….kwetu hata uwe na digrii ngapi as long as wewe bado mtu mzima HAKUNA atakayekuthamini kwani bado machoni mwa watu unaonekana ni mtoto tu na hawakutilii maanani.
 
Kuna mama mmoja wa kihaya alituuzia kiwanja Tabata sasa wakati tunaenda kuuangalia uwanja simu akapokea mtoto wake..I say alicho kuwa anatujibu was so irrelevant na shida yetu.

He was like " Mama amenipa maagizo yenu Mimi ni mtoto wake wa mwisho nasoma Udsm pale mwaka wa sheria ..yeye ameenda kwenye sherehe ya kumpongeza mdogo wake amechaguliwa kuwa balozi mdogo wa Italia..."

Wakati tunatoka kwenda kuucheki uwanja tukapita karibu na duka..jamaa aka shout " Maangii nitayarishie mayai ya elfu kumi na mbili na maziwa ya Azam pakti 3 nikitoka buchani kununua nyama ntapita hapo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…