Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
Mchaga hata akiwa meneja wa benki ukimuuliza,mr Njau unafanya kazi gani atakujibu"nafanya kibarua pale nmb.
sasa kutana na mhaya anayefanya kazi kwenye mashine ya kusaga mahindi,halafu muulize mr Mutashobya unafanya kazi gani utasikia
"Olaitaa olaitaa olaitaa asante mabibi na mabwana ni mimi mr Mutashobya meneja mkuu kwenye kampuni ya monocotyledoni finalizing company yenye makao makuu nchini marekani nilienda uko nikiwa na ferari mpya kabisa bilion tatu ikiwa imejaa mafuta nilimwona Trump na yule kijana wa nyumbani mr Obama.....