Wahaya mpewe maua yenu kwenye mizagamuano

Ndio maana..
Kuna manzi mmoja nimeambiwa ni mnyambo ana shape kama mnywaranda, lakini lafudhi kama ya mhaya kwa mbali.. sura ipo.. halafu naona ananiwashia green lights..🚦.. mpaka ameanza na kuniita "baby". Sasa sijui .. daah.. hebu nishauri..
Kwani upo single?
Ukiwa nae utamuoa au piga nisepe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…