Wahaya mpewe maua yenu kwenye mizagamuano

Wahaya mpewe maua yenu kwenye mizagamuano

nilijichanganya sana hapo nyuma kwa sababu sikuwa na mtu yeyote wa karibu wa kumuomba ushauri hasa katika suala zima la mahusiano ....hawa ******* wanaojiita ni eti jamaa na ndugu ni wabinafsi wakubwa wao walikuwa wakijali kula pesa zangu ..lakini kwenye matatizo yangu wanakuwa mbali km 200000...mpaka naamua kuwa mlevi ilikuwa ni katika hali ya kutafuta faraja ..''mlevi akilewa anakuwa mtu poa sana kuliko hawa wasengerema...juzijuzi nimejichanga nikanunua kausafiri anatokea msengerema mmoja eti Mwizukulu mgikuru unampango gani na huu usafiri wako kwanini hii pesa usingewekeza kwenye biashara?......yaani kwenye masuala muhimu kama mahusiano msengerema anakaa mbali na halafu kwenye matumizi ya pesa zangu eti msengerema anajifanya kunipa ushauri.........
Binadamu ndivyo walivyo mkuu. Kwenye suala la kupambana kwako wanakuwa mbali ila ukionyesha kutumia jasho lako wanajitokeza kama washauri.. kwenye jambo la kuharibikiwa pia wanakutazama ili waone anguko lako..

Nadhani haupo nae tena huyo mwanamke.. au umekubali muende tu
 
Back
Top Bottom