Wahaya na dawa za moyo

Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
Hata dawa ya pressure inapatikana kwao wanaiita Entula hii hapa👇hivo vimatunda vyake ndo dawa. Ni mti jamii ya Solanaceae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…