Wahaya na Wachaga bana

Wahaya na Wachaga bana

Na wasukuma kwa sifa namba ngapi?

Mkuu mimi nimetokea usukumani lkn sikufichi, wasukuma tumeharibika mno, na sio wale wazamani walikuwa wakarimu. Kwa sasa Wengiwao wamekuwa na roho mbaya ,wakatili na ukimkosea kidogo tu anachukua jukum la kukuuwa,hatari kweli kweli hawa watu.
 
Kweli haisee mimi mwenyewe nilienda kukodi jaruba ili nilime mpunga wakanifanyia umafia
 
Wachaga Oyeee
e487ce87b3f91a06026aaec47f26ccdc.jpg
Wachagga
Oyeee
Cc miss chagga
 
Back
Top Bottom