Rutayuga91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 449
- 249
Duh!! Kumbe senene wanalipa hivo!!Wahaya utajiri wao unatokana na SENENE Almaarufu PANZI, na NDIZI, si ajabu huyo kaka kauza senene zake kanunua AUDI
Iv wahaya asili yao nchi gani wanabore sana
Na wasukuma kwa sifa namba ngapi?
Ha ha ha very true
Utajiri ni wangu..hayo ya mkoa mtajua wenyewe.Mimi mwenyew ni mhaya ila nachukizwa sana na watu wanaotaka sifa kutoka kwa watu afu mkoa wetu uko choka mbaya jaman