Wahaya nao wameanza kurudi nyumbani Krismasi

Wahay ni kawaida na ndio abiria wakubwa uwanja wa ndege wa Bukoba .


Sema wahay ni kama sisi wengine unaweza kujenga na kuzikwa popote pale.Wachaga ndio wanarudishwa kwao kwa lazima.
 
Nikiskia wahaya akil yangu inaenda uwanja wa fisi
 
Wanashukia stand ipi na kule hakuna stendi ya Mabus? Au Airport?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…