Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Wahaya wamezidi sifa jamani khan!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k*
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
khaa.... wewe muhaya nini coz kila kitu abroad mara oooh gari la mil.600 hiv....mara oooh suti zangu nilizochukua paris...mara tv toka germany kibooootetemeko kagera na baba koku
ba Koku:Asante ndugu mtangazaji kwa this very good opportunity...infact ni jambo la kusikitusha sana.It was around saa nane na nusu hivi...tukiwa tunaangalia mpira wa Manchester united sebuleni kwangu kwenye my new Samsung Hd tv niliinunua Ujerumani wiiki mbili zilizopita.nikiwa na na baba kemirembe,mjuni, shumbu na baba kokushubira tukianza kuangaria mechi..huku mama koku akiandaa lunch, maana tulitaka tule. Kuku,kitimoto na frech fries kidogo. Nikasikia mtikisiko kidogo,mara floor ya nne ya nyumba yangu ya nilijenga kwa pesa kidogo tuu kama milioni miasita na nusu hivi ikaadondoka....nikashtuka tukaanza kutoka..nje nikagundua matofari yameidondokea range Rover yangu nimeitoa bandarini last week....nika anza kushangaa mara mtikisiko ukazidi...tukatoka nje..nikagundua ni tetemeko la aridhi...kwa kweli namshukuru Mungu my fimily members wote wazima kama unaona Wife bado mnono hapo...ila mali nyingi zimeharibika...magari yangu sita yamendokewa na nyumba....yaani kinachoniuma Suti zangu nilinunua Paris last week tuu nilvyoenda kwenye ziara ya kibiashara zimefukiwa pia..na hata sijawahi zivaaa...yaah infact ntanunua zingine next week...hapa inabidi nikate tiketi na my family twende Dubai tukapumzike kidogo mpaka nijenge nyumba nyingine next week..nadhani next week itakuwa imeshaisha na tutahamia...ndugu mtangazaji nimalizie.kwa.kusema asante na tuombeana.kwa Mungu atutie nguvu wale tulio potelewa na ndug. Na maragiki...asante sana.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Jamani..! Mleta uzi Mungu anakuona Hahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji286]