Masikini hata Ulaya wapoMaisha hayana usawa kaka
Maisha ni ukuta
Bukoba ina watu masikin mpaka unaogopa
Hahahaa wahaya on moja na mbiliWewe ndio nshomile mwenyewe , umefanya kujifanyia assist tu.
Huwa nakubali sana pigo zao😆Hahahaa wahaya on moja na mbili
Bukoba ya wapi?Maisha hayana usawa kaka
Maisha ni ukuta
Bukoba ina watu masikin mpaka unaogopa
Wajenge kwako Sasa,nyumba za Kisasa kama ,wanyakyusa,Wachaga,Wapare nk!Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!
Tutajuta kwenda huko!
Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
Wajenge kwaoWajenge kwako Sasa,nyumba za Kisasa kama ,wanyakyusa,Wachaga,Wapare nk!
Nani kasema mimi ni Mhaya!Umekuja kujisifia au hao walima ndizi tangu lini wamepata nauli za kujaza mapipa!
Nenda vijijini upate ukweli! Usisikilize ya kuambiwaWajenge kwako Sasa,nyumba za Kisasa kama ,wanyakyusa,Wachaga,Wapare nk!
Wenzio walipanga safari na kufanya booking mapema. Hapo Katarama inakuhusu, masaa 20 katika kiti.Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!
Tutajuta kwenda huko!
Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
Na kweli, 20 or more hrs!Wenzio walipanga safari na kufanya booking mapema. Hapo Katarama inakuhusu, masaa 20 katika kiti.
Hili sio la kuzungumzia hayaland ni hatari sana kuleWajenge kwao