Wahaya wamepinda, ndege zote Bukoba to Dar zimejaa mpaka Lyamba!

Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!

Tutajuta kwenda huko!

Ngoja nipande Katarama Bus πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜
Wajenge kwako Sasa,nyumba za Kisasa kama ,wanyakyusa,Wachaga,Wapare nk!
 
Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.!
Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays!

Tutajuta kwenda huko!

Ngoja nipande Katarama Bus πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜
Wenzio walipanga safari na kufanya booking mapema. Hapo Katarama inakuhusu, masaa 20 katika kiti.
 
Wenzio walipanga safari na kufanya booking mapema. Hapo Katarama inakuhusu, masaa 20 katika kiti.
Na kweli, 20 or more hrs!

Sasa hivi kuna manasi ya kulala /kujiegesha mlalo.....150,000 Tsh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…