Wahaya wamjibu RC Chalamila, wamtaka Rais Samia Suluhu Hassan amuomdoe haraka kabla mambo hayajaharibika

Ni mtu mdogo sana,hakuna wa kubishana naye,
alipokuwa mbeya alishadadia wanafunzi kupigwa viboko,ameenda kagera anapinga wanafunzi kupigwa viboko
mimi nitaanzisha NGO ya kufanya utafiti kama kipara kinaathiri ubongo wa mtu.
 
Muhesee magito wahaya nyie
 
Nawashauri watu wa Kagera mpokee changamoto kutoka kwa mkuu wa mkoa wenu. Kwanza Chalamila hajawataja Wahaya, yeye anazungumzia watu wa Kagera. Sasa huko Kagera kuna Wanyambo, Wahaya, Wakerewe, etc. Kwanini nyie Wahaya mnafikiri kwamba watu wa Kagera ni nyie tu??

Si mnaona mnavyokosea eeh?! Sasa mtu akiwaita watu wa majungu mbachukia nini? Au mtu alisema kwamba nyie kila mtu anajifanya mwanasheria kuna wongo hapo? Chalamila anasema mnajitia wajuaji, amekosea wapi, kuna mtu asiyejua hilo?

Na zaidi ya yote mnasema Kagera ndio imetoa wasomi wengi tena maprofesa, sasa nyie mbona wakati huo huo ndio mkoa wa mwisho mwisho kiuchumi? Mnasema ardhi yenu nzuri rutuba nyingi na ziwa kubwa, mbona nyie ndio maskini wakubwa? Sasa mtu akisema Wanakagera ni majungu tu na kujifanya wajuaji anakosea wapi?

Mimi naongezea hapo kwa mkuu wenu wa mkoa; nasema acheni kiburi na majivuno kwani inachekesha kuona mtu maskini anakuwa na kibri na majivuno! Nendeni Kilimanjaro mkajifunze kazi na unyenyekevu!

Kumekucha

Navalonge swela!

Acheni majungu nyie chawa

Chalamila naye huwa anapenda kuhangaika na mambo ya kipuuzi tu,kutafuta cheap popularity,wahaya amewakuta na ata waacha hapo kagera.

Afanye kilichompeleka mambo ya wahaya awachie wahaya wenyewe.


Watu hamna kazi za kufanya....

Huu uzi wa pili sasa....


Mtakuwa mnaandika ili watu watoe matusi kwa wahaya....maana kuna watu ndo roho zinasuhuzika...

Pambaneni na hali yenu
 
CCM MBELE KWA MBELE
 
sio bure lazima kuna kitu walikufanyia,huwezi kuwasahahu
Kuna dada yangu alioa mhaya yaani alimtoa kwao bukoba akawa anaishi nae kkwetu kwenye nyumba ya Urithi, yule mpuuzi alikuwa hataki kazi kabisa. kilikuwa kinakaa tu ndani kinajifanya kilokole alafu kisomi kiingereza kingi tukaona huyu hatufai hapa tukamtafutia jamaa wamfundishe adabu, kumbe jamaa ndio michezo yake nasikia aliwakatia na viuno
 
Kazi imeanza 🀣🀣🀣
 
Hyo ni jumuiya ya watu wengi ,Kama kiongozi ukishajua tabia zao bas haina haja ya kuchoreshana ..Atafute namba ya kuleta maendeleo la sivyo ataondoka yeye na atawaacha na hatoweza kuwabadilisha.
 
Acheni majungu nyie chawa
Mtuachie chawa wanalimwa KIGOMA na sii KAGERA* Sisi tunasoma ma phd zetu huku uraya muda wa uchawa tupatie wapi? Ngoja nikutajie machawa yaliyokubuhu na mikoa watokayo.

1. Manara..........Kigoma.

2. Baba levo.....Kigoma.

3. Mwijaku........Kigoma.

4. Mr. Pimbi......Kigoma.

Utuombe radhi
 
Duh Jamaa kaaribu tena
 
Weka videos mkuu...
 
Sema wahaya wenzangu ni wajuaji sana hilo nikiri sema Mkuu wa Mkoa atafute njia ya kuwabadilisha kimya kimya.
 
Muonyesheni kuwa ninyi ni tofauti asiwachukulie poa fanyeni maandamano makubwa ya kishindo
 
Alioa au aliolewa Tafsiri ya Mwanaume kuolewa na Mwanamke haipo labda unataka kusema shemeji yako Muhaya alikuwa Anaishi katika Nyumba yenu ya urithi!


Pia tujifunze kuheshimu kila mtu hata Kama hataki kufanya Kazi au kutafta pesa , "Utu" unabidi kutawala na wahaya wanajitambua sio materialistic driven.
 
Nyie wahaya komesheni ubaguzi kwanza ndiyo mnyanyue pua zenu juu kufokea watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…