Wahaya wamjibu RC Chalamila, wamtaka Rais Samia Suluhu Hassan amuomdoe haraka kabla mambo hayajaharibika

Bus stand ya udongo alafu tangu asubuhi wanaongea tu kingereza 😂

Aisee Chalamila amedandia mtumbwi wa kibwengo ila mkija chini-chini hivi hamtommudu.
kama kweli mko serious mnataka kumsagia kunguni Chalamila nyie tumeni waandishi wa habari wakawahoji Mapapa ya Kihaya kuhusu hizi kauli za Chalamila alafu mahojiano sukumeni yaende Viral mtaona faster tu anarudi Iringa kucheza draft pale Kihesa Sokoni.
Ni mtu mdogo sana,hakuna wa kubishana naye,
alipokuwa mbeya alishadadia wanafunzi kupigwa viboko,ameenda kagera anapinga wanafunzi kupigwa viboko
mimi nitaanzisha NGO ya kufanya utafiti kama kipara kinaathiri ubongo wa mtu.
 
*UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak . Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina. Viingereza vyetu vina mahusiano gani na maendeleo?.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin , kuzama kwa Meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI , soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow (tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.

#makeKageraGreatAgain

USSR
Muhesee magito wahaya nyie
 
Nawashauri watu wa Kagera mpokee changamoto kutoka kwa mkuu wa mkoa wenu. Kwanza Chalamila hajawataja Wahaya, yeye anazungumzia watu wa Kagera. Sasa huko Kagera kuna Wanyambo, Wahaya, Wakerewe, etc. Kwanini nyie Wahaya mnafikiri kwamba watu wa Kagera ni nyie tu??

Si mnaona mnavyokosea eeh?! Sasa mtu akiwaita watu wa majungu mbachukia nini? Au mtu alisema kwamba nyie kila mtu anajifanya mwanasheria kuna wongo hapo? Chalamila anasema mnajitia wajuaji, amekosea wapi, kuna mtu asiyejua hilo?

Na zaidi ya yote mnasema Kagera ndio imetoa wasomi wengi tena maprofesa, sasa nyie mbona wakati huo huo ndio mkoa wa mwisho mwisho kiuchumi? Mnasema ardhi yenu nzuri rutuba nyingi na ziwa kubwa, mbona nyie ndio maskini wakubwa? Sasa mtu akisema Wanakagera ni majungu tu na kujifanya wajuaji anakosea wapi?

Mimi naongezea hapo kwa mkuu wenu wa mkoa; nasema acheni kiburi na majivuno kwani inachekesha kuona mtu maskini anakuwa na kibri na majivuno! Nendeni Kilimanjaro mkajifunze kazi na unyenyekevu!
*UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak . Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina. Viingereza vyetu vina mahusiano gani na maendeleo?.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin , kuzama kwa Meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI , soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow (tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.

#makeKageraGreatAgain

USSR

Kumekucha

Navalonge swela!

Acheni majungu nyie chawa

Chalamila naye huwa anapenda kuhangaika na mambo ya kipuuzi tu,kutafuta cheap popularity,wahaya amewakuta na ata waacha hapo kagera.

Afanye kilichompeleka mambo ya wahaya awachie wahaya wenyewe.

Yeye ndiye mkuu wa mkoa, Kwa Sasa anapaswa afanye kazi Ili afanye mabadiliko, analalamika eti Kagera hawana stendi, hawana sijui Soko hawana sijui vyuo vikuu nk Hivyo vyote ni vya serikali na anasema Hawa Wana-Kagera hawana hivi vitu Kwa sababu Wana ujuaji. Nadhani huyu RC anakosea tena sana anapaswa kutafuta suluhu na Si kulalama Kila siku

Watu hamna kazi za kufanya....

Huu uzi wa pili sasa....

Mtakuwa mnaandika ili watu watoe matusi kwa wahaya....maana kuna watu ndo roho zinasuhuzika...

Pambaneni na hali yenu
 
*UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak . Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina. Viingereza vyetu vina mahusiano gani na maendeleo?.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin , kuzama kwa Meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI , soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow (tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.

#makeKageraGreatAgain

USSR
CCM MBELE KWA MBELE
 
sio bure lazima kuna kitu walikufanyia,huwezi kuwasahahu
Kuna dada yangu alioa mhaya yaani alimtoa kwao bukoba akawa anaishi nae kkwetu kwenye nyumba ya Urithi, yule mpuuzi alikuwa hataki kazi kabisa. kilikuwa kinakaa tu ndani kinajifanya kilokole alafu kisomi kiingereza kingi tukaona huyu hatufai hapa tukamtafutia jamaa wamfundishe adabu, kumbe jamaa ndio michezo yake nasikia aliwakatia na viuno
 
Kazi imeanza 🤣🤣🤣
 
Hyo ni jumuiya ya watu wengi ,Kama kiongozi ukishajua tabia zao bas haina haja ya kuchoreshana ..Atafute namba ya kuleta maendeleo la sivyo ataondoka yeye na atawaacha na hatoweza kuwabadilisha.
 
Acheni majungu nyie chawa
Mtuachie chawa wanalimwa KIGOMA na sii KAGERA* Sisi tunasoma ma phd zetu huku uraya muda wa uchawa tupatie wapi? Ngoja nikutajie machawa yaliyokubuhu na mikoa watokayo.

1. Manara..........Kigoma.

2. Baba levo.....Kigoma.

3. Mwijaku........Kigoma.

4. Mr. Pimbi......Kigoma.

Utuombe radhi
 
*UHAYA WETU SIYO SHIDA, CHALAMILA TAFUTA SULUHISHO.

Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa Victoria ambapo shughuli kubwa ya watu wazungukao ziwa ni uvuvi. Mkoa huu umezalisha wasomi wengi ambao almaarufu huitwa nshomire ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kagera tumebahatika kupata viongozi wa aina mbalimbali hususani wakuu wa mikoa ambao kila aliyepita hapa alikuwa na aina ya uongozi wake. Ila hivi sasa mkoa huu unaongozwa na Mh Chalamila. Huyu Chalamila amekuja na aina tofauti ya uongozi wake ambao umepelekea watu wengi kushindwa kumuelewa ana shida gani na watu wa Kagera. Kila akipanda jukwaani ni mtu wa kebehi na kejeli kwamba watu wa Kagera wana fitina na majungu, watu wa Kagera ni wavivu na watu ambao hawapendi maendeleo. Tunaamini Mh Rais wetu Samia Suluhu amechagua mtu wa kuja kumsaidia kuijenga Kagera ila siyo kuleta mtu wa kuja kuwasimanga, kuwasema vibaya, na kuwadhalilisha kwa sifa mbaya ambazo anasema hajawahi kuziona katika mkoa wowote.

Chalamila anasema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote. Je anaweza kutuambia huo utafiti aliufanya lini na akalinganisha mikoa ipi. Na je alitumia njia gani kwa hiyo tathmini yake?. No research no right to speak . Watu wa Kagera ni wakarimu sana lakini inapotokea kiongozi kutumia kofia yake kudhalilisha kabila na kutupa sifa mbaya hiyo haikubaliki.

Je hizo sifa anazotoa yeye kama Mkuu wa Mkoa ni watu gani watapenda kuja kuwekeza Kagera. Ni mtu gani ambaye atapenda kufanya kazi Kagera kwa sifa ambazo anazinadi kila siku kwenye vyombo vya habari dhidi ya ubaya wa watu wa Kagera?. Rais hajatuletea mtu wa kuja kutuchafua watu wa Kagera bali kaleta mtu wa kuja kusimamia sera ambazo zitainyanyua Kagera.

Kagera hatuna Stendi ya mkoa, Kagera hatuna soko . Chalamila anasema hayo hayapo kwa sababu watu wana majungu na fitina na wanapenda kuongea viingereza. Je kujenga Stendi na soko ni kazi ya wananchi au ndio inabidi serikali ijenge. Tulitegemea yeye kama kiongozi aongoze njia kupata hizo stendi na soko. Lakini anaendelea kutuzomea kwamba hatuna vitu hivyo kwa sababu ya majungu na fitina. Kauli zake zinaonyesha serikali haiko tayari kuwapatia watu wa Kagera stendi na soko kwa sababu wana majungu na fitina. Viingereza vyetu vina mahusiano gani na maendeleo?.

Leo hii Kagera ni mkoa wenye uchumi duni kuliko mikoa yote. Tukiangalia sababu kubwa ni athari ya vita ya Idd Amin , kuzama kwa Meli ya Mv Bukoba, Athari ya ugonjwa wa UKIMWI , soko la kahawa kutoeleweka pamoja na kilimo cha migomba kuingiliwa na ugonjwa wa Mnyauko . Na hayo mambo ni serikali ambayo inatakiwa iangalie namna ya kuweka sura nzuri ambazo zitafufua uchumi wa Kagera. Lakini anakuja Mkuu wa Mkoa ambaye kazi yake ni kuwasema vibaya watu wa Kagera kwa kutusema ni wavivu. Suala la watu wa Kagera kuwa na majungu na fitina pamoja na uvivu umekuwa wimbo wake kabisa. Hii inatuchafulia taswira ya mkoa wetu. Tunaamini kiongozi mzuri ni yule ambaye vitendo vinazidi maneno. Tulitamani kuona initiatives za kupandisha uchumi wa Kagera lakini siyo kutusimanga.

Hivi huo ni uvivu gani ambao anausemea Mkuu wa Mkoa. Je kufa kwa KCU na BCU ni uvivu wa wana Kagera? Je kutokuwa na viwanda vya kutosha ni uvivu wa wananchi wa Kagera. Mshaurini Chalamila aache kejeli na kebehi asimamie sera vizuri ndani ya mkoa wetu tuone kama hatutapata matokeo chanya. Kagera inahitaji usimamizi mzuri wa sera ili kuweza kunyanyuka. Athari zilizopo ni tafsiri ya viongozi kutokuwa wanyambulifu. We reap what we sow (tunavuna tunachokipanda) ukilima chuki utavuna chuki.

Huenda kuna watu wanamsifia kwa kuweza kusema chochote anachojisikia. Yeye kama kiongozi lazima achague maneno ya kusema. Kiukweli kauli zake zimenyongonyesha mioyo yetu, kauli zake zinatudidimiza, kauli zake zinatujengea uhasama na serikali, kauli zake zinatutonesha vidonda vyetu kwa madhira yaliyotupata, kauli zake zina chuki na uhaya wetu na mwisho kauli zake siyo za kiongozi. Baada ya kutatua tatizo yeye anashugulika na uhaya wetu.

Kuna methali moja ya kiingereza inasema hivi " embwa keeba etakahiire mukira teruga mmahiga kwa tafsiri ambayo siyo sisisi ni kwamba anachokitafuta atakipata.

#makeKageraGreatAgain

USSR
Duh Jamaa kaaribu tena
 
Weka videos mkuu...
 
Muonyesheni kuwa ninyi ni tofauti asiwachukulie poa fanyeni maandamano makubwa ya kishindo
 
Alioa au aliolewa Tafsiri ya Mwanaume kuolewa na Mwanamke haipo labda unataka kusema shemeji yako Muhaya alikuwa Anaishi katika Nyumba yenu ya urithi!

Pia tujifunze kuheshimu kila mtu hata Kama hataki kufanya Kazi au kutafta pesa , "Utu" unabidi kutawala na wahaya wanajitambua sio materialistic driven.

Nyie wahaya komesheni ubaguzi kwanza ndiyo mnyanyue pua zenu juu kufokea watu!
 
Back
Top Bottom