GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
PIcha picha mbona msiba unafanyika kimyakimyaChakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili Mzee Nimrod Elirehema Mkono au Kumlilia Mtani wenu?
Mpo wengi hapa JamiiForums naombeni mnijibu Mtani wenu. Yaani hata Mimi GENTAMYCINE Chakula changu nilichokiweka katika Kiti (tena nimekifunikia) ili nije Kula nacho mmekipitia.
R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.
Harafu bado fine ya kumchelesha kwenda kwenye nyumba yake ya milele
hahaaa ni watani halafu ni wakwe, wanakera sanaNa Wewe una Utani na hawa Watani zangu tajwa Mkuu au? Watakushambulia ujute kuwajua.
mjini maisha magumu raia mnagombea chakula msibani?
Kuna jamaa mtaani kwetu huwa anajinadi kuwa baba yake ni Mzanaki na mama yake ni Mmakua,lkn alivyofariki Mkono,akaja tena na kudai kuwa Mkono alikuwa mjomba wake. Sasa sijui ndo mwanzo wa kugombea mali za marehemu km na wewe unavyo gombea chakula cha msibani kwa Mkono?Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili Mzee Nimrod Elirehema Mkono au Kumlilia Mtani wenu?
Mpo wengi hapa JamiiForums naombeni mnijibu Mtani wenu. Yaani hata Mimi GENTAMYCINE Chakula changu nilichokiweka katika Kiti (tena nimekifunikia) ili nije Kula nacho mmekipitia.
R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.