JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
- Thread starter
-
- #61
Kama ni kweli mtu ambaye ana Elimu ya University level na mawazo yake bado ni mgando kwa viwango hivi basi kazi ipo kuifikia Tanzania tuitakayo, maana Taifa limeaccomodate kila aina ya mazuzu.
Eti eeh? Thought you could do better than this!
Electrical Engineering is currently the best field in construction and technology industries. Kwani wewe ulitaka nikasome nini ili uone ni field ya maana?
Every where needs electricity and else where reforms with electronics.
Think big. Think to create jobs and not beg for them.
"WAHAYA ELIMU KWANZA"
ukabila nyerere alikataza , huoni hata aibu kuongea mambo ya ukabila mwaka huu wa 2012????!!! mimi nadhani ni ushamba tu unakusumbua na mawenge ya kuchaguliwa chuo kikuu , ndo unaanza kujidai eti unataka kuendeleza wenzako.. kama kweli una dhamira ya kweli , fanya mipango ya kuiendeleza tanzania nzima na sio hao wahaya wenzako........ ni hayo tu kaka , , , na sijui hicho chuo umechaguliwa chuo gani kinachokupa mawenge namna hiyo....
ndugu yangu wewe ni wa kiume au wa kike?? maana napata wasiwasi kidogo.... anyway lakinni , lets end this thng.. am ur bro coz nimekutangulia kishule.. ila achana na hayo mambo ya uhaya na ukabila.. ni ushamba tu , watu wa UDSM hatupo hivyo ndugu yangu.... UDSM is the home of intellectuals ,,, so yu have to change.........................................
Wabongo bana,basi kajamaa kanavotaja hyo fuculty yake utazania kakigraduate katakua na uwezo wa kucreat hata saa.2naishiaga kufanya wiring kwenye viwanda na majumba ya watu.cku mkiweza hata kutengeneza cm zenu itakua balaa,cjui zatakua katerelo mobiles?cjui.
Wewe uliyeanzisha hii mada sio mhaya,una malengo yako binafsi kutaka kuwaharibia wahaya! ushindwe kwa jina la bwana!Wasalaam wana Jamvi.
Kama wewe ni muhaya au ulizaliwa katika mkoa wa Kagera au una ndugu yako aliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu mwaka 2012/13 basi hii inakuhusu.
Binafsi nimeona ni busara kuwakutanisha wahaya wote tulioko vyuoni na tuliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu,ili.:
1.Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza wenzetu(wahaya) walioko chini yetu.
2. Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza na kuwasaidia wahaya wenzetu kielimu walioko vijijini na waweze kuwa kama sisi.
3. Kupitisha sheria ndogo kwa wahaya itakayokuwa inawaamuru kila Muhaya kufikia kiwango cha elimu cha angalau shahada ya kwanza.(atleast 1st degree)
4. Kupanga mikakati ya kuiendeleza Kagera kiuchumi na kielimu , na ifikapo 2020 kila kijiji kiwe na graduates wasiopungua 20.
"WAHAYA ELIMU KWANZA"
NB: KAMA WEWE UNA JAMBO LOLOTE LA KUCHANGIA JINSI YA KUFANIKISHA HAYA BASI KARIBU LAKINI KAMA UNATAKA KUTUKANA NA WEWE KARIBU.
Acheni kumlaumu jamani uwezo wa akili yake unaishia kagera...mbumbumbu utamjua tu!amesahau kuwa kuna nchi kubwa kama US na inahitaji mawazo endelevu ya watu ili kuiendeleza kwa ukubwa wake! alafu yeye mawazo yake yanaishia kuiendeleza kagera, boya bwana!
Watanzania bado 2nayo safari ndefu kufikia panapostahili..
I cant even blv ma ears kusikia mtu anafunza juu ya kuachana na fikra za ukabira Tz!
Hata chuo hupajui..ushaanza mbwembwe?
Hujui kama kuna karai, sup na disco! Vp kuhusu wanachuo 10 wa 5yr udaktari muhimbili walio disco in their last yr! Wewe kimeo kweli..
mbona wachaga hatuongei wakati tuna elimu tuna hela tofauti na nyie wahaya masifa tu yani mhaya yupo tayari awe bosi alipwe elfu 20 lakini mchaga atakuwa mlinzi lakini alipwe milioni
MKUU WA KAYA(MUHAYA) AKITOA MAELEKEZO KWA DADA WA KAZI KABLA YA KUONDOKA NYUMBANI ASUBUHI:
Mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimeenda wapi waambieni nimeenda bank kuchukua milioni thelathini kwa ajili ya ada za kaka zenu wawili wanaosoma PHD uingereza, wakiuliza jumla mu wangapi waambieni tuko nane, ila Bibi mzaa Baba ameenda India kutibiwa na yupo huko mwezi sasa, na imetucost mpaka dakika hii milioni sabini, mama yenu muwaambie yupo site, anasimamia ushushwaji wa vifaa vya ujenzi 'kwa ajili ya finishing' vimetoka China ambavyo vimetugharimu milioni 600, halafu na watoto wengine waliobaki waambieni wameenda kutembea serengeti na rafiki zao wametoka Australia, na wanatumia gari mbili Range Rover na Hummer, kama watahitaji kuongea namimi wapeni namba zangu za Blackberry tu, zile Samsung Galax waambieni huwa natumia kwa family Issues tu ...
Pimbi tu wewe.Kama wewe
we kweli mhaya hiyo course yako inatuhusu nini?Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
Thought you could do bttr than this.
Pimbi tu wewe.
I will. Surely I will get you circumcised
we mshamba kweli hii nyumba mmpanga ,anakaaa jamaa mmoja mhaya wa tra domestic revenue ndo kawajaza wadogo zake kutoka bukoba ,then mm nawafahamu wote mnapiga sana misele na subaru ya kaka jijiniHivi wewe unanijua vizuri au unaandika kufurahisha fikra zako? Kwa taarifa zako mimi ni zaidi ya uandikayo. Kwani kuandika bandiko hapo juu ndio kosa? Wewe vipi?
Mbona imekukereketa sana? ***** WE!
Na mshamba ni wewe mwenyewe. Do you know me? NJOO OYSTERBAY MKWAWA STREET, ZAMBIA ROAD, HOUSE NO. 0120.
Upo hapo? NYAMBAF
Guec Wahaya wameshakuharibu sana kwenye 0713 yako. Ndo maana unashupalia circumcition kwa wahaya. Vipi bdo unaweza tembea frsh au umepinda mgongo.