Wahaya wote inawahusu!!!

Wahaya wote inawahusu!!!

Kama ni kweli mtu ambaye ana Elimu ya University level na mawazo yake bado ni mgando kwa viwango hivi basi kazi ipo kuifikia Tanzania tuitakayo, maana Taifa limeaccomodate kila aina ya mazuzu.

Kama wewe
 
Iv ww ukiish osterbay ukifa Huoz!mbona hoja za kitoto!
 
Wabongo bana,basi kajamaa kanavotaja hyo fuculty yake utazania kakigraduate katakua na uwezo wa kucreat hata saa.2naishiaga kufanya wiring kwenye viwanda na majumba ya watu.cku mkiweza hata kutengeneza cm zenu itakua balaa,cjui zatakua katerelo mobiles?cjui.
 
Eti eeh? Thought you could do better than this!
Electrical Engineering is currently the best field in construction and technology industries. Kwani wewe ulitaka nikasome nini ili uone ni field ya maana?
Every where needs electricity and else where reforms with electronics.
Think big. Think to create jobs and not beg for them.
"WAHAYA ELIMU KWANZA"

ndugu yangu wewe ni wa kiume au wa kike?? maana napata wasiwasi kidogo.... anyway lakinni , lets end this thng.. am ur bro coz nimekutangulia kishule.. ila achana na hayo mambo ya uhaya na ukabila.. ni ushamba tu , watu wa UDSM hatupo hivyo ndugu yangu.... UDSM is the home of intellectuals ,,, so yu have to change.........................................
 
Jamaa wenge sana, na si ajabu ndo mara yake ya kwanza kufika DSM....Atakuwa kapata Zoom Polytechnic au eagle wing ya kariakoo


ukabila nyerere alikataza , huoni hata aibu kuongea mambo ya ukabila mwaka huu wa 2012????!!! mimi nadhani ni ushamba tu unakusumbua na mawenge ya kuchaguliwa chuo kikuu , ndo unaanza kujidai eti unataka kuendeleza wenzako.. kama kweli una dhamira ya kweli , fanya mipango ya kuiendeleza tanzania nzima na sio hao wahaya wenzako........ ni hayo tu kaka , , , na sijui hicho chuo umechaguliwa chuo gani kinachokupa mawenge namna hiyo....
 
ndugu yangu wewe ni wa kiume au wa kike?? maana napata wasiwasi kidogo.... anyway lakinni , lets end this thng.. am ur bro coz nimekutangulia kishule.. ila achana na hayo mambo ya uhaya na ukabila.. ni ushamba tu , watu wa UDSM hatupo hivyo ndugu yangu.... UDSM is the home of intellectuals ,,, so yu have to change.........................................

Pamoja sana kaka. Mimi sio mkabila, infact ni mpenda haki kwa wote na kwa makabila yote. Ila nilitaka kuanza na nyumbani then ninge extend kwingine.
Tufanye kazi kwa bidii, mimi sijafika nilipo kwa miujiza na wala sitalajii kufaulu kwa miujiza. Naelewa niendako ni kugumu na kunaitaji umakini wa hali ya juu.
I'll do my best and God will do the rest.
 
Wabongo bana,basi kajamaa kanavotaja hyo fuculty yake utazania kakigraduate katakua na uwezo wa kucreat hata saa.2naishiaga kufanya wiring kwenye viwanda na majumba ya watu.cku mkiweza hata kutengeneza cm zenu itakua balaa,cjui zatakua katerelo mobiles?cjui.

mkuu umefanya nimecheka sana hapo kwenye red
 
Wasalaam wana Jamvi.
Kama wewe ni muhaya au ulizaliwa katika mkoa wa Kagera au una ndugu yako aliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu mwaka 2012/13 basi hii inakuhusu.
Binafsi nimeona ni busara kuwakutanisha wahaya wote tulioko vyuoni na tuliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu,ili.:
1.Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza wenzetu(wahaya) walioko chini yetu.
2. Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza na kuwasaidia wahaya wenzetu kielimu walioko vijijini na waweze kuwa kama sisi.
3. Kupitisha sheria ndogo kwa wahaya itakayokuwa inawaamuru kila Muhaya kufikia kiwango cha elimu cha angalau shahada ya kwanza.(atleast 1st degree)
4. Kupanga mikakati ya kuiendeleza Kagera kiuchumi na kielimu , na ifikapo 2020 kila kijiji kiwe na graduates wasiopungua 20.
"WAHAYA ELIMU KWANZA"
NB: KAMA WEWE UNA JAMBO LOLOTE LA KUCHANGIA JINSI YA KUFANIKISHA HAYA BASI KARIBU LAKINI KAMA UNATAKA KUTUKANA NA WEWE KARIBU.
Wewe uliyeanzisha hii mada sio mhaya,una malengo yako binafsi kutaka kuwaharibia wahaya! ushindwe kwa jina la bwana!
 
Acheni kumlaumu jamani uwezo wa akili yake unaishia kagera...mbumbumbu utamjua tu!amesahau kuwa kuna nchi kubwa kama US na inahitaji mawazo endelevu ya watu ili kuiendeleza kwa ukubwa wake! alafu yeye mawazo yake yanaishia kuiendeleza kagera, boya bwana!
Watanzania bado 2nayo safari ndefu kufikia panapostahili..
I cant even blv ma ears kusikia mtu anafunza juu ya kuachana na fikra za ukabira Tz!
Hata chuo hupajui..ushaanza mbwembwe?
Hujui kama kuna karai, sup na disco! Vp kuhusu wanachuo 10 wa 5yr udaktari muhimbili walio disco in their last yr! Wewe kimeo kweli..

as charity begins at home xo should development begin at home(buhaya)
 
mbona wachaga hatuongei wakati tuna elimu tuna hela tofauti na nyie wahaya masifa tu yani mhaya yupo tayari awe bosi alipwe elfu 20 lakini mchaga atakuwa mlinzi lakini alipwe milioni

wachaga ndo wana ukabila wa kutisha! Hamuongei lakini mnaiba mpaka fedha za mama ntilie! Kimara na mbezi hakukaliki sababu ya wizi na mauaji ya wachaga
 
MKUU WA KAYA(MUHAYA) AKITOA MAELEKEZO KWA DADA WA KAZI KABLA YA KUONDOKA NYUMBANI ASUBUHI:

Mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimeenda wapi waambieni nimeenda bank kuchukua milioni thelathini kwa ajili ya ada za kaka zenu wawili wanaosoma PHD uingereza, wakiuliza jumla mu wangapi waambieni tuko nane, ila Bibi mzaa Baba ameenda India kutibiwa na yupo huko mwezi sasa, na imetucost mpaka dakika hii milioni sabini, mama yenu muwaambie yupo site, anasimamia ushushwaji wa vifaa vya ujenzi 'kwa ajili ya finishing' vimetoka China ambavyo vimetugharimu milioni 600, halafu na watoto wengine waliobaki waambieni wameenda kutembea serengeti na rafiki zao wametoka Australia, na wanatumia gari mbili Range Rover na Hummer, kama watahitaji kuongea namimi wapeni namba zangu za Blackberry tu, zile Samsung Galax waambieni huwa natumia kwa family Issues tu ...

Yaani nimecheka hadi machozi. JAMANI HATUKO KIIHIVYO. Umezidisha chumvi i see.
Lakini asante umeniongezea siku.
 
Hello ukabira noma! Lakini wana jf kumbuka kuwa watu wengine wanapenda kuwaona wenzao wakigombana kama mtu aliyeweka hii post ni analeta utani au anamaanisha anachosema aende jukwaa la gossips/jokes ahachie jukwaa letu tupeane mambo ya HESLB. Nawasilisha
 
Hello ukabira noma! Lakini wana jf kumbuka kuwa watu wengine wanapenda kuwaona wenzao wakigombana kama mtu aliyeweka hii post analeta utani au anamaanisha anachosema aende jukwaa la gossips/jokes ahachie jukwaa letu tupeane mambo ya HESLB. Nawasilisha
 
Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
we kweli mhaya hiyo course yako inatuhusu nini?
 
Hivi wewe unanijua vizuri au unaandika kufurahisha fikra zako? Kwa taarifa zako mimi ni zaidi ya uandikayo. Kwani kuandika bandiko hapo juu ndio kosa? Wewe vipi?
Mbona imekukereketa sana? ***** WE!
Na mshamba ni wewe mwenyewe. Do you know me? NJOO OYSTERBAY MKWAWA STREET, ZAMBIA ROAD, HOUSE NO. 0120.
Upo hapo? NYAMBAF
we mshamba kweli hii nyumba mmpanga ,anakaaa jamaa mmoja mhaya wa tra domestic revenue ndo kawajaza wadogo zake kutoka bukoba ,then mm nawafahamu wote mnapiga sana misele na subaru ya kaka jijini
 
Guec Wahaya wameshakuharibu sana kwenye 0713 yako. Ndo maana unashupalia circumcition kwa wahaya. Vipi bdo unaweza tembea frsh au umepinda mgongo.

Bwenga upoooo!

Mi nilikuwa nakutania lkn sasa acha nikuchane live. Hiyo tabia yako ya kike. Ku-display mali za kakaako na kujifanya wewe ndio mwenye nyumba ni ujuha. Hakuna mtu aliyetaka kujua umechaguliwa wapi na kwa kozi gani. Hayo mambo ni ya kufanyia kijijini kwenu bwanjai na sio town, hapa unaonekana mshamba tu.

Halafu tuondolee bendera yetu kwenye avatar yako.

Mngekuwa wanaume kweli si mngeungana 1977 wakati Iddi Amini Dada anawaoa kwenye migomba wake kwa waume. Lkn pale mlifyata mpk Nyerere alipoona mmeolewa vya kutosha ndio akaagiza Wa-mume wa kazi kutoka Mara tukaja kuwakomboa. Na ndio maana mpk leo tukioa kwenu hatutoi mahari
 
Back
Top Bottom