GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.
Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.
Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?
Watani zangu bhana!!!!!!!