Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Wahayaa wahayaa mtulipeee faini zetu,uzaifu unaanzia mnapoenda kutailiwa kwa kuchomwa ganzi mmeupeleka hadi kwa wamama yomaweeee!!!!
 
Mtoto wa kitanga kamtoa machozi Mhaya.
Hongera zenu wanawake wa Kitanga ile rekodi yenu badonaishikilia
 
Kwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.

Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.

Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?

Watani zangu bhana!!!!!!!
Tena na awalipe haraka. Kama namuona McConder miguu juu ya meza ofisini na erphone kubwa, anacheeeeka.
 
Sisi watu wa wa mkoa wa kigoma tumeshangazwa na mtoto wetu huyo !!! Sisi hapa watoto ambao hata kushika jembe na kwenda shamba kama atafilisika bado analia lia nini sasa kweli anastahi kutulipa faini alete Senene kilo hamsini na pombe ya ndizi (Kayoga)kama hela sisi Tunazo
 
Dah mapenzi yanauma,kweli kila shetani na mbuyu wake!mtoto wa kisomanga kamkoleza Boss hadi hajitambuii
 
Hakuna mbambe mbele ya mb***ye wewe!....hata wasiotaka kujaribiwa (namaanisha na shetani si na watu hahaha) wakifika hapo katika mgodi huo wa mwanadamu hulia kama kasim mganga aimbavyo! Haina mjanja wewe!
 
Huu msimu wanaume sijui shetani katufanyaje!...kabla DAIHAMI halijaisha singo mpya ya ZAMARUGE ikaachiwa hewani!...tutaona ipi itafikisha watazamaji milioni kumi haraka weza ipo SIJUI vero au yutubu!
 
Back
Top Bottom