Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Soma kisa cha layla & majnuni ndo utajua kua Ruge anaafadhali sana, mapenzi yana nguvu kuliko unavuzani, ciajabu ww mbele ya mkeo au demu wako kila siku unalia
 
Hivi maisha haya ya leo mwanaume unalilia mbunye kiasi hiki mpaka kamasi zinakutoka!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaa!!! Ruge ametudhalilisha sana wanaume!! Dadaeeeki!!! Eti kisa mbunye ya Zamaradi!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Eti janaume unalialia eti nakufaaa!!!! Kisa mbunye!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ruge alikua anaigiza tu!! Kwa mnao wajua ma player mtaelewa na sema nini!!! Mzee wafursa bwana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyo Ruge tunamsubili nyumbani bukoba akifika tu lazima tukusanyike ukoo mzima apate bakola mbele ya adhara maana katuaibisha akina nshomile,
Wakola waitu!!!

Tena mumchape Viboko vya uhakika ili akome halafu msisubiri Ng'ombe zetu Saba na Pombe ya Gongo / Brandi kwa Sisi Watani zenu wakubwa Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) vinginevyo tunasababisha tena ' tukio ' baya huko Mkoani Kwenu Kagera ( Bukoba )
 
Kwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.

Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.

Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?

Watani zangu bhana!!!!!!!
Aisee riambie rije na kesto sio tu gongo muraa. Yani tata kweri kweri unariria mwanamuke muraa
 
Heee, kibamia kinaonekanae jamani? Kweli nimeamini asifuye mvua imemnyea

Siyo asifuye mvua imemnyea bali ni aisifiae mvua imemnyeshea. Mswahili mzima halafu hujui Kiswahili hata Mimi nakuzidi kukizungumza na kukiandika utadhani ni Mtanzania kweli / halisi vile.
 
Ha ha haa, Ruge nina binti mrembo kuliko zama, maana sasa naamini umekuwa.
 
Hivi watu wa Mara watani wao ni watu wa Kagera au Kigoma?

Nadhani hakuna Mtu humu JF anayezidi kwa kupenda sana ' Kuwatania ' Watani zangu wakubwa kwani kiukweli huwa ninawapenda mno na hata wenyewe wanajua. Kwa faida yako tu na kwa wengine pia ni kwamba Watani wakubwa wa Watu wa Mkoa wa Mara ni Wahaya wa Mkoani Kagera, Waha wa Mkoani Kigoma. Wanyiramba na Wanyaturu wa Mkoani Singida na Warangi wa Mkoani Dodoma.

Na usisahau kwamba hata JF Founder Maxence Mubyazi Melo nae pia ni Mhaya halisi hivyo hata Yeye pia hili ' dongo ' langu kwa Mhaya mwenzake Ruge Mutahaba nae linamuhusu na pengine Ruge anaweza akazungumza nae ili waniandalie hao Ng'ombe zangu Saba na hiyo Pombe ya Gongo / Brandi kususi Sisi Watani zao ( Wajomba na Mashangazi ) vinginevyo tutakachofanya sasa itakuwa ni zaidi ya Mv Bukoba, Ugonjwa wa Dally Kimoko na hili Tetemeko la Ardhi la hivi majuzi tu.
 
Ungeujua utamu wa ZM na penzi lake usingethubutu kuandika uzi huu. Kuna K nyingine zimezidi viwango vya TBS kwa mbali sanaaaaa.

Kwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.

Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.

Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?

Watani zangu bhana!!!!!!!
 
Tuna kikao huku maeneo ya Maruku, tunadiscuss kwa undani point to point kwa nini kijana wetu atuaibishe vile

Wakati mkimjadili huyo Ndugu yenu Ruge Mutahaba kwa alichokifanya hakikisheni pia mnaandaa na Ng'ombe zetu Saba na Pombe ya Gongo / Brandi la sivyo Wahaya ' mtatukoma ' Sisi Watani zenu Watu wa Mara ( Musoma )
 
Back
Top Bottom