Shemeji nimekuona unalalamika kitambo!
Acha kulalami mpenzi , hayo ni matukio tu!
Afu kwa taarifa mi wahaya ni watani zangu , na hapa nilikua sijawananga wanung'una! Ningeweka na utani shem sijui ungepovu ?
wanapenda mchezo wa kikubwa sana
Ha ha ha haaaaaaaaaa. Wanapenda au wanajua?
Si mchezo shem! Kwanza siku hizi nna uwezo wa kukinyonga kumzidi Funza wa toileti !
wanapenda wanaojua ni wandengereko tu.
Mzima dada?
wanapenda mchezo wa kikubwa sana
There's no secret concernin reproductive issues !
hahahaha ukisikia''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''
Mhhhhh walishakufikishaga safari yako?
Mie mzima rafiki.
paaaaaaaa jua limempata afu sikuhizi umepotea sana yaani nyie wahaya looo vingekuwa vinaisha au vinapungua utamu za kwenu zingekuwa na ladha ya mchunga