Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Omary Hussein (KK) , hakuna sura ya Mogela ya kwenye hiyo Picha.Mwenye tshet ya blue kafanana na Mogela.
Nyie ndy mnaofanya bangi ipigwe marufuku.mwenye kanzu n hamiss gagarino[emoji1][emoji41][emoji41][emoji3581]
Kafanana na Shibuda!Mwenye miwani nadhani ni Mzee wetu Mohammed Said.
Idd Pazi ndo alikuwa Tanzania One enzi zile? Ni yupi hapo?Kafanana na Shibuda!
Binafsi nimewatambua watatu tu!
Omari Hussein, Idd Pazi na Chal's Boniface!