Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*
To my wife
*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.
Mimi mumeo
View attachment 585174
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah we jamaaMke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.
Mume: nakupitia sasa hivi mke wangu lazima tuwe majasiri tukiwaendekeza hawa watu wasiojulikana hawataicha ndoa salama.
[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisle wahenga bwana wanatishaaaa..[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*
To my wife
*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.
Mimi mumeo
View attachment 585174
Sent using Jamii Forums mobile app