Wahenga hawakosi neno

Wahenga hawakosi neno

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Wahenga wamepata sababu za kulala nje

To my wife

*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.

Mimi mumeo
IMG-20170909-WA0100.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*WAHENGA WAMEPATA SABABU ZA KULALA NJE*

To my wife

*Samahani sana kila nikitoa mguu hapo nje ya ofisi nakuta Nissan nyeupe imepaki. Hvyo leo nalala ofisini*.

Mimi mumeo
View attachment 585174

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke: Nakuelewa mume wangu hata hapa ofisini kwetu kwa nje naona nissan nyeupe, nimebaki na boss tu sisi pia tunaogopa kutoka nadhani tutalala ofisini pia.
Mume: nakupitia sasa hivi mke wangu lazima tuwe majasiri tukiwaendekeza hawa watu wasiojulikana hawataicha ndoa salama.

[emoji125]

Hahahah we jamaa
 
Yan wahenga wanarudisha nyuma kimaendeleo kabsa
 
Back
Top Bottom