Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Walikuwepo wazee wa jando na mifuko yao myeusi na bakora ya kutembelea .. Ndani ya huo hiyo mifuko ndio kulikuwa na zana za kaziš¤£
Kwa waliokwisha pata jando ilikuwa ni kumbukumbu ya kutisha na kufurahisha pia.. Lakini kwa wale ambao walikuwa bado.
Kuonekana kwa mzee mwenye huo mkoba ilikuwa ni nuksi kubwa.
Watoto wa kiume walitimua mbio vibaya sana