Wahenga hiki kisu cha kukunja kinakukumbusheni nini?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Walikuwepo wazee wa jando na mifuko yao myeusi na bakora ya kutembelea .. Ndani ya huo hiyo mifuko ndio kulikuwa na zana za kazi🤣

Kwa waliokwisha pata jando ilikuwa ni kumbukumbu ya kutisha na kufurahisha pia.. Lakini kwa wale ambao walikuwa bado.

Kuonekana kwa mzee mwenye huo mkoba ilikuwa ni nuksi kubwa.

Watoto wa kiume walitimua mbio vibaya sana



 
Uchinjaji wa Nguruwe Rombo
 
Nimekumbuka mbali sana..
Ilikua asubuhi na mapema maeneo ya Mbande kwa Tinyango..

Nyimba moja ya mzee jeki. Aisee yule ngariba, mjomba mda huo bi mkubwa alikimbia mbali na eneo la tukio.

Ile issue ilikua hatare wakuu sio kwa maumivu yale na enzi hizo hakuna ganzi wala nini.
Wakiamini kuwa kufanyia hospital inatoka kiba 100
 
Hakukamatwa!?🥺
 
Tulipata tabu sana.. Hasa tuliopitia jando la porini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…