Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto
Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa.
Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi
Vodacom: unajiunga shiling 50, unaunganisha namba moja hiyo, siku nzima unaongea bure utakavyo kwa namba hiyo moja tu utakayoichagua.
Baada ya hapo ni kubishana tu, kata wewe kata wewe.... dk za bure zinajeuri