Wahenga mkisamehe bure hiki kizazi cha cha chips yai

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,732
Reaction score
3,508
Wakat wakiwa na ufinyu mdogo sana wa elimu dunia na wingi wa busara,WAHENGA hawakutaka kutuacha bila kutupatia urithi wa busara zao.

Wakaanzisha misemo(Methali) mbalimbali yenye lengo la kutuasa,tahadharisha na kutufunza kama vile "Umoja ni nguvu,kidole ki1 hakivunji chawa Nk...

Leo hii wamejitokeza vijana wanaojiita kizazi kipya(Chipsi Yai+Kuku Broiller),wamejiona wanaakili sana kwa kutuletea msemo wakijinga "Pamabana na Hali Yako".Ujinga huu..


Chipsi Yai Mungu anawaona mjue...Haswa nyie mnaioishi Dar 😡 😡
 
Pambana na hali yako tu! mdau!
 
Tatizo wahenga hawaeleweki misemo yao inakanganya sana mara POLEPOLE NDIO MWENDO, HARAKA HARAKA HAINA BARAKA na huku wanakwambia CHELEWA CHELEWA UTAKUTA MWANA SI WAKO.
Kweli mkuu lakini hiyo misemo inamaana na inafanya kazi kutegemea na mtu na mazingira
 
Pambana na hali yako tu! mdau!
Hakuna asiepambana na hali alionayo...but tambua huwezi jimudu kwakila kitu kuna sehemu tu lzm utahitaji msaada mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…