Wahenga, mnakumbuka bidhaa za National Milling Cooperation?

Wahenga, mnakumbuka bidhaa za National Milling Cooperation?

Kwanza mizigo ilisambazwa na mitsubish nissan Kaudo au kauma, na bidhaa ni kununua kwenye maduka yao tena kwa foleni tena unasimama kwa adabu
 
Ni kwasababu hakukua na social media, habari hazikusambaa. Unafahamu yaliyowatokea ndugu zake Oscar Kambona baada ya kaka yao kukimbilia Uingereza?

Yaliyowatokea ukoo wa Hans Pope baada ya lile jaribio kushindwa.

Ninaomba niishie hapa.
Mkuu Mkuu. Kwa kweli uishie hapo tu.
 
Hivi hiyo NMC ilikuwaje ikafa sababu Naambiwa Bakhresa ndie aliinunua na yeye kawa bilionea baada ya kuinunua ilikuwaklje ife halafu Bakhresa baada ya kuchukua katajirika
 
Hivi hiyo NMC ilikuwaje ikafa sababu Naambiwa Bakhresa ndie aliinunua na yeye kawa bilionea baada ya kuinunua ilikuwaklje ife halafu Bakhresa baada ya kuchukua katajirika
Matatizo mengi yanayotokea katika nchi za Afrika yanasababishwa na kukosa uwezo na uzoefu wa kujitawala na kujiongoza. Hizi ni athari zilizotokana na biashara ya utumwa mpaka kufikia utawala wa Kikoloni.

Ukichungiza mpaka sasa hivi ambao wanataka ufanisi katika biashara zao hawawajiri wazawa. Hii ipo hata Afrika ya Kusini tena Wazulu wakipata mshahara Ijumaa wanalala baa kabisa mpaka J3 au J4 pesa zikiwaishia.

Nchi za Ulaya General Manager akikatibia kustaafu, kwa miaka mitano ya mwisho atakua na team ya vijana ana wa mentor na kuwapa majukumu madogomafogo, mpaka wanaanza kuingia kwenye mikutano ya board na kuangalia hatari za hasara.

Vijana hawa wanakuwa ni wale wanaotaka na First Class University wanachukua kuwa pia kutokana na reference kutoka kwa walimu wao.
 
Back
Top Bottom