Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.

Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.
1730739777039.jpg
 
Hivyo vitu vilikuwa vinaonesha status ya familia husika kwa sisi tuliokulia bush.

2 na 5 ni ushuani tayari, huo mkeka sio wa plastic wa juzi juzi tu hapa?
- Ukili/Ukindu ndo ulitumika kwenye kusuka mikeka.
 
Huwezi ami kuna familia hata kibatari ilikua ni changamoto, moja wapo ni familia niliyo yoka mimi.
 
huo mkeka sio wa plastic wa juzi juzi tu hapa?
Huu nimeweka ili nao watoto wa 2000 wasijiskie vibaya 🤭🤭🤭 wasione tumewatenga😂😂😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.View attachment 3143504
Hamna chupi ya V. I. P? Alikuwa amebakiza nayo mshikaji wangu Dr. Gill Biz, tuko Kariakoo, jua kali, joto sio kitoto., kavua shati, kumbe chupi imekatika katikati na imepanda hadi kifuani.

Akatokea demu anaitwa Lilian Mwaigomole, akatusalimia kwa bashasha, halafu akamuuliza mshikali, hiki nini?

Shikamoo sana kwa waliovaa chupi za VIP
 
Back
Top Bottom