Wahenga: mnamkumbuka Alexander fu sheng & Jack Chan, mapacha wa mama tofauti..

Nimeona muvi nyingi sana za kichini sana.
No kweli Raymond Chow alikuja kubadiri gemu LA muvi za kichina baada ya kuanzisha kampuni ya Golden Harvest, pia usimsahau Director na producer bora Yuen woo ping
yeah mkuu sema mwanzo nilikuwa faster hapo juu nimedit vema nimekuwekea nguli wachache filamu kichina wa enzi hizo waliokuwa wananivutia ila wapo wengi unaweza nikumbusha wengne nipe info zaid za moviie za kichina za zaman mm ni fan sana wa tamaduni za kichina na movie zao 7bu napenda sana karate mkuu
 
Mkuu kuna Uzi naandaa kuhusu hizi muvi tutajadili zaidi huko
 
Huyu ndo alicheza ile picha wako wawili mapacha wanapiga balaaa? Nimesahau jina la ile movie ila tulikuwa tunamuita Jackchan ila mkalimani akikuwa anasema kuwa huyu siyo jackchan
 
Aisee jet lee ugonjwa umemuumiza na holiwood hawakumcast movie nyingi sana version yake ndo kama John wick , icko uweis, welberg, etc lakini shangaa wills mpka mwaka huu katoa movie
 
My Father is a hero!
Hakuna movie ya Jet lee sijaicheki kwakweli jamaa nilikua nampenda sana!.. Kwa mbali na Don Yen.
Nami nimecheki nyingi mnoooo. Hata donie yen
 
Aisee jet lee ugonjwa umemuumiza na holiwood hawakumcast movie nyingi sana version yake ndo kama John wick , icko uweis, welberg, etc lakini shangaa wills mpka mwaka huu katoa movie
Jamaa ndio tushampoteza hivo kwenye ulimwengu Wa filamu za kibabe
 
Huyu ndo alicheza ile picha wako wawili mapacha wanapiga balaaa? Nimesahau jina la ile movie ila tulikuwa tunamuita Jackchan ila mkalimani akikuwa anasema kuwa huyu siyo jackchan
Siifahamuu aisee.. Wanafana mnooo
Angalia five Master of shaoliin au fuatilia muvi za David Chang
 
dah yuko wap huyo dogo cku hz?? nimetoka kuirudia my father is a hero majuzi tuu,,asee dogo aliitendea haki ile muvi
Usimwite dogo yawezekana anakushinda umri sasa.. Dogo yupo naona yuko bize na umodo.. Pia photos studio hapo juu nimeweka muvi zake..
 
ofcoz kaniacha kdg,,namwita dogo sbb ya ile muvi asee, km aliamua kuwa modo bc alitoa boko asee,, miaka hii angekuwa among the best fighting actors

any wy maamuz yake lkn
 
Ndio dogo anaweza sana maana anayajua Yale mapigo hatari. Ila naona hakuwekeza sana kwenye muvi
 
Back
Top Bottom