yeah mkuu sema mwanzo nilikuwa faster hapo juu nimedit vema nimekuwekea nguli wachache filamu kichina wa enzi hizo waliokuwa wananivutia ila wapo wengi unaweza nikumbusha wengne nipe info zaid za moviie za kichina za zaman mm ni fan sana wa tamaduni za kichina na movie zao 7bu napenda sana karate mkuuNimeona muvi nyingi sana za kichini sana.
No kweli Raymond Chow alikuja kubadiri gemu LA muvi za kichina baada ya kuanzisha kampuni ya Golden Harvest, pia usimsahau Director na producer bora Yuen woo ping
Mkuu kuna Uzi naandaa kuhusu hizi muvi tutajadili zaidi hukoyeah mkuu sema mwanzo nilikuwa faster hapo juu nimedit vema nimekuwekea nguli wachache filamu kichina wa enzi hizo waliokuwa wananivutia ila wapo wengi unaweza nikumbusha wengne nipe info zaid za moviie za kichina za zaman mm ni fan sana wa tamaduni za kichina na movie zao 7bu napenda sana karate mkuu
My Father is a hero!Huyu dogo nilijua ni mtoto wa jet Lee now ana 34 years
View attachment 881879View attachment 881880View attachment 881881
My father is a hero boy kama sikosei.Huyu dogo nilijua ni mtoto wa jet Lee now ana 34 years
View attachment 881879View attachment 881880View attachment 881881
Mkuu hana muvi zake za saivi akiwa mtu mzima?Dogo anapiga huyu hataree..
Kwenye hiyo muvi alitisha zaidi
Jamaa ndio tushampoteza hivo kwenye ulimwengu Wa filamu za kibabeAisee jet lee ugonjwa umemuumiza na holiwood hawakumcast movie nyingi sana version yake ndo kama John wick , icko uweis, welberg, etc lakini shangaa wills mpka mwaka huu katoa movie
Siifahamuu aisee.. Wanafana mnoooHuyu ndo alicheza ile picha wako wawili mapacha wanapiga balaaa? Nimesahau jina la ile movie ila tulikuwa tunamuita Jackchan ila mkalimani akikuwa anasema kuwa huyu siyo jackchan
dah yuko wap huyo dogo cku hz?? nimetoka kuirudia my father is a hero majuzi tuu,,asee dogo aliitendea haki ile muviHuyu dogo nilijua ni mtoto wa jet Lee now ana 34 years
View attachment 881879View attachment 881880View attachment 881881
Usimwite dogo yawezekana anakushinda umri sasa.. Dogo yupo naona yuko bize na umodo.. Pia photos studio hapo juu nimeweka muvi zake..dah yuko wap huyo dogo cku hz?? nimetoka kuirudia my father is a hero majuzi tuu,,asee dogo aliitendea haki ile muvi
ofcoz kaniacha kdg,,namwita dogo sbb ya ile muvi asee, km aliamua kuwa modo bc alitoa boko asee,, miaka hii angekuwa among the best fighting actorsUsimwite dogo yawezekana anakushinda umri sasa.. Dogo yupo naona yuko bize na umodo.. Pia photos studio hapo juu nimeweka muvi zake..
Ndio dogo anaweza sana maana anayajua Yale mapigo hatari. Ila naona hakuwekeza sana kwenye muviofcoz kaniacha kdg,,namwita dogo sbb ya ile muvi asee, km aliamua kuwa modo bc alitoa boko asee,, miaka hii angekuwa among the best fighting actors
any wy maamuz yake lkn