Sisi tulikua tunaita fuku fuku na nyimbo tunawaimbia tukiwa tunawafukua kumbe mpaka puchu sasa enzi zile mtoto unajuaje mambo ya puchu hata balehe badoHao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....
Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..
Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.
Noma saana.
Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
nawajua kabisa maana sio kwa uhenga huu nilio naoHao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....
Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..
Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.
Noma saana.
Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
Mna uhenga gani? Hasa wewe moneytalk... itabidi wahenga tuwatafutie jina lingine hili limeingiliwa na vifuku fuku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiii nimekumbuka zamani na ukiwaweka kifuani wanavyong'ata na kuvuta viziwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tupoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fuku fuku kiboko hao wa mtoni sijawahi waona yaan fuku fuku wa kwenye nyumba nikitoka tu nje nakuta wameshafukua naanza sasa kuimba na kuwaweka kwenye nyonyo uking'atwa unajisikia raha unaona nyonyo litakuwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli[emoji23] kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe
Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
Sisi tulikua tunaita fuku fuku na nyimbo tunawaimbia tukiwa tunawafukua kumbe mpaka puchu sasa enzi zile mtoto unajuaje mambo ya puchu hata balehe bado
Ulikuwa unawaweka wapi weye?nawajua kabisa maana sio kwa uhenga huu nilio nao
teh teh shem bhana
mimi nilikuwa nawaweka pale pengineUlikuwa unawaweka wapi weye?
Teh... Haya bhana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi hii miaka 45 niliyokuwa nayo nitajihesabia me ni kabinti special jaman
Namimi siulizi nishajiongeza.mimi nilikuwa nawaweka pale pengine
teh teh
walinidanganya aiseee
usiniulize pengine wapi maana wewe ni shem
Walai... siku hizi hata sigeuki nyuma... nimesafishwa kwa damu ya Bwana....Ahahhh huo ulokole wako wa masaa siutaki
hahahahahah bora tu ujiongeze maana sitaweza kujielezaNamimi siulizi nishajiongeza.