Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
154,929
Reaction score
459,607
Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
30492c466fb595c7dbc648a719060eb1.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli[emoji23] kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe

Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
 
Hao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....

Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..

Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.

Noma saana.

Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
Sisi tulikua tunaita fuku fuku na nyimbo tunawaimbia tukiwa tunawafukua kumbe mpaka puchu sasa enzi zile mtoto unajuaje mambo ya puchu hata balehe bado
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli[emoji23] kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe

Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fuku fuku kiboko hao wa mtoni sijawahi waona yaan fuku fuku wa kwenye nyumba nikitoka tu nje nakuta wameshafukua naanza sasa kuimba na kuwaweka kwenye nyonyo uking'atwa unajisikia raha unaona nyonyo litakuwa

Watoto wa sasa hivi kweli hawafahidi michezo
 
Hawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni

Tulikuwa tunawaita chora baruaaa

Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu

Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn

Tulikuwa tunadanganyana kwae
 
Back
Top Bottom