Wahenga mpooooo

Duh!

Hivi hawang’ati hao wadudu?

Ila huo mchezo ni wa nyie millennials.

Sisi wa umri wa miaka 60 kwenda juu hatukuwa na hayo mambo.
 
Wewe wa kishua,humjui fukufuku? Au sio muhenga.
 
Watoto wa ckuiz wanaota matiti mapema kbla hta hwajayaitaji
 
Nakuja mm yakuwe ole wako ufukue fukue halaf yasikue
Kwahyo unachotaka kusema huna uhakika wa kazi zangu? Huduma bora mazingira safi na salama unafukuliwa huku unapata na kinywaj hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…