Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Duh!

Hivi hawang’ati hao wadudu?

Ila huo mchezo ni wa nyie millennials.

Sisi wa umri wa miaka 60 kwenda juu hatukuwa na hayo mambo.
 
Hawa cwafamu..
Mm na marafiki zangu tulikuwa tunaeka wale wadudu wa mtoni

Tulikuwa tunawaita chora baruaaa

Muda tunaenda kuchota maji ya kudekia ndo tunawachota na hao wadudu

Ila matiti yenyewe hayajakuaga makubwa wala nn

Tulikuwa tunadanganyana kwae
Wewe wa kishua,humjui fukufuku? Au sio muhenga.
 
Hahahaaa.. bwana yamekua kidogo ila bado hayatoshi kama yale niliyo nayo kwenye akili yangu.
Ahahhhh yasizidi zaidi ya vile unataka kuwa kama katie price wa kunyumba
932e8ef488f99a7d328e8fdc0cdf2637.jpg
 
Nakuja mm yakuwe ole wako ufukue fukue halaf yasikue
Kwahyo unachotaka kusema huna uhakika wa kazi zangu? Huduma bora mazingira safi na salama unafukuliwa huku unapata na kinywaj hapo hapo
 
Back
Top Bottom