Shunie ujue wewe utaaharbu biashara nakuona kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aliyenidanganyaNajua hisia haziwezi kunidanganya.... nachojiuliza tu je kajizama ndani kesi inakuwa ya nani? Yako au chukuchuku?
Enheee kama hayo. Nikiwa na hayo kitambi chote kinafunikwa. Naonekana mtoto shape shape kumbe shape nimepewa na nyonyoAhahhhh yasizidi zaidi ya vile unataka kuwa kama katie price wa kunyumba
Uzur ma bebi wako wote wanajuana na hawagombanLakini si unajua mi wako peke yako baby? Siibwi usiende kuweka six packs tafadhal
Shukuru mungu mana wengine fukufuku walifanya kazi vizuri.Sio vile tulivyokuwa tunayaomba vipo tudogo tu
kwani umepajua lakini Bonny?Fuku fuku nnao sa hv nije nikuwekee hapo pengne?
Hehe... Itanibidi niinunue kesi.aliyenidanganya
yaaan nitamuuliza aisee alikuwa na maana ganiHehe... Itanibidi niinunue kesi.
Wanang'ata na kuvuta hiviii yaan yote ilikuwa kutafuta le super mtindiz mkubwa