Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Fukufuku.Sisi tuliambiwa" ukitaka bamia iwe kubwa iumishe fukufuku" Unaumisha kwenye govinda enzi hizo
Kumbe mpaka wanaume mlikuwa mnafanya huko kwenye naniliu
 
Ahahhhh yasizidi zaidi ya vile unataka kuwa kama katie price wa kunyumba
932e8ef488f99a7d328e8fdc0cdf2637.jpg
Enheee kama hayo. Nikiwa na hayo kitambi chote kinafunikwa. Naonekana mtoto shape shape kumbe shape nimepewa na nyonyo
 
Duh!

Hivi hawang’ati hao wadudu?

Ila huo mchezo ni wa nyie millennials.

Sisi wa umri wa miaka 60 kwenda juu hatukuwa na hayo mambo.
Wanang'ata na kuvuta hiviii yaan yote ilikuwa kutafuta le super mtindiz mkubwa
 
Back
Top Bottom