Wahenga Season 7

Wahenga Season 7

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
hivi hawa wahenga walijua dunia ni yao peke yao eh??

kuna mtu nimetoka kumuamsha muda sio mrefu maajabu nashangaa mimi sijalala nipo nakodoa tu hapa, wakati wao wanasema "ukimuamsha aliyelala utalala wewe"

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
Huyo muhenga namtafuta nimuulize alikuwa anafikiria nini kusema hivyo..
 
Back
Top Bottom