Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

Kama mwaka mmoja unakuchosha kuishi na mwanamke mmoja, utaweza kufanya kazi serikalini miaka 30?, ofisi ileile, mazingira yale yale na majungu yaleyale!!
Miaka yote tangu kijana mpaka unazeeka unafanya kitu kile kile
Unahama mkoa, unabadilisha mazingira
 
Hivi mliwezaje kukaa na mwanamke mmoja tu miaka 35+?

Katika jambo wahenga mlizingua ni hili

Sijawaelewa
Wakati ule wanapooana mwanamke ni bikira na mwanaume ni bikira (hajawahi ku -sex). Kila mtu anajua mwenzake ndivyo alivyo. Zamani mwanaume anaoa mke wake ila siku hizi ni wake za watu. Aliyevunja bikira ndio mme halali wa huyo mwanamke.
 
Umeongea points za biblia kabisa, Waefeso 5:22-25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…