Wahenga semeni ukweli, kuna mengi hamsemi

Hakuna niliposema mnaweza au mnatakiwa kuwa watawa.

Na si lazima mzaliane, mnajipa umuhinu wenyewe tu.
Basi wew ndo huelewi mada mkuu. Changia mtwambie mliwezaje na wahenga wenzio
 
Mpaka hapo ushafanya assumption mimi muhenga, ushafanya assumption wahenga waliweza.

Wakati wahenga ndio hao kina baba yake J.K Nyerere walikuwa na wake ishirini na ngapi hata kuhesabu watu wanakisia tu.

Assumptions kibao.
 
Ndoa inataka kutosikiliza maneno ya nje,unatakiwa uamue wewe kama wewe usiwasikilize watu hata kama ni ndugu zako,usikubali kufslanya maamuzi magumu yoyote bila kujiridhisha,kama haujapata uhakika kausha usisikilize waja,sio wote wana nia njema.

Jifunze pia kuignore na kutowaza negativity,hii ndio Siri yangu ya kukaa ktk ndoa kwa miaka 18 hadi sasa,wengine nao watasema
 
Bado wapo watatwambia tu
 
Nimekusoma mkuu point yako kuwa na msimamo usisikilize watu wa nje syo wote ni wema.

Miaka 18 unastahili sanamu hapo mtaan kwako mbele ya ofisi ya chama na serikal
 
Usisahau kuomba Mungu pia akusimamie wakati wote
 
Back
Top Bottom