Wahenga tu: Camera Man wa enzi hizo,

Lengo ni kuwafikia wateja kwa haraka.
 
Mshua wangu alikuwa ana camera lakini hakuwa na sifa hizo labda kwa kuwa alikuwa anaifanya kama kazi ya ziada na sanasana alikuwa inatumika kwa matumizi ya nyumbani.
Ila kuna kipindi alishawahi kutishiwa kisu na tajiri mmoja eti kwa nini picha ya mke wake imetoka ana makengeza.
😀😀😀😀😀
 
Walikuwa na jeuri sana wale pumbavu.😂😂😂
 
Siku za sikukuu Mkanda umeisha jamaa apiga flush tu na anapokea advance, ukifuatilia picha anakuambia zimeungua labda akurudie kukupiga picha, jamaa walitutapeli kizembe Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38]
watu wana mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…