Wahenga tu: Camera Man wa enzi hizo,

Wahenga tu: Camera Man wa enzi hizo,

Mkuu hizo sifa zote yaani umepita mule mule..
Ama kweli kila kitu na enzi zake.. kama sasa hivi watu wenye magari wanavyotesa makameramani wametunyoosha sana..

Unakuta inapigwa picha unefumba macho lakini huna namna lazima uichukue.

Kuhusu vi baskeli vile vya phoenix sijui nani aliwaambia kila cameraman awe nacho🤗😂😂😂😂
Lengo ni kuwafikia wateja kwa haraka.
 
Mshua wangu alikuwa ana camera lakini hakuwa na sifa hizo labda kwa kuwa alikuwa anaifanya kama kazi ya ziada na sanasana alikuwa inatumika kwa matumizi ya nyumbani.
Ila kuna kipindi alishawahi kutishiwa kisu na tajiri mmoja eti kwa nini picha ya mke wake imetoka ana makengeza.
😀😀😀😀😀
 
Siku za sikukuu Mkanda umeisha jamaa apiga flush tu na anapokea advance, ukifuatilia picha anakuambia zimeungua labda akurudie kukupiga picha, jamaa walitutapeli kizembe Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshua wangu alikuwa ana camera lakini hakuwa na sifa hizo labda kwa kuwa alikuwa anaifanya kama kazi ya ziada na sanasana alikuwa inatumika kwa matumizi ya nyumbani.
Ila kuna kipindi alishawahi kutishiwa kisu na tajiri mmoja eti kwa nini picha ya mke wake imetoka ana makengeza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji38]
watu wana mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom