Na mpaka leo hii dawa haswa ya malaria bado haijapatikana.ni wanatubadilishia tu.sisi ndo wamajaribio.maana tangu kwinini zimekuja aina nyingi tu za dawa ya malaria, huku zilizoko tunaambiwa hazifai.mm siku hizi napiga miti shamba tu.Mimi kuinywa ile dawa lazima niwe na sukari pembeni, lakini cha ajabu ile dawa ikigusa tu ulimi lazima nitapike. Nikagundua kuifinyanga kwenye tonge la ugali nameza zimazima. Kingine wazee walikuwa watu wa afya so the first option nilikuea naomba nichomwe sindano badala ya kunywa ile dawa. Naamini ile ni sumu mbaya sana waafrica tulinyweshwa
Si Dabyyyy Dabyyyy Dabyyyynilikuwa nikizimeza hizo au Kwinini.. maskio yanalia diiiii iiiiiiii siku nzima.
Mkuu hata mimi nilipata shida hii ambayo inaniathiri hadi leo hii.Niliiacha mwaka 2008 baada ya kuwashwa siku tatu mfululizo, ikanianzishia ugonjwa mwingine nikioga ninawashwa.
Inaitwa IODINE aka Ayodinhahaha mie nilikuwa mtundu gv ilikuwa kawaida sana kwangu na kuna lile lidawa linauma hatare la vidonda ukibandikwa pamba haibanduki apaka upone ngozi inaota mdogo mdogo
Hahaha ile dawa hapana Sky.Si Dabyyyy Dabyyyy Dabyyyy
Pole.Usicheke...mimi nilikuwa nawashwa, nikijikuna tu, navimba, na nilikuwa kibonge, baada ya masaa machache tu, ninakuwa kama sanamu la Micheline....
kulikuwa Na sulphur demadin sijui kama nimepatia jinaTetracycline INA harufu mbaya SNA..
kumbe wewe ni muhenga yelewiinilikuwa nikizimeza hizo au Kwinini.. maskio yanalia diiiii iiiiiiii siku nzima.
Hivi mhenga ni kuanzia miaka gani?kumbe wewe ni muhenga yelewii
aliyemeza hizi dawa lazma ni muhenga mtaajiwa kama si muhenga kamili...........😱😱😱Hivi mhenga ni kuanzia miaka gani?