Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

Natafakari, hivi aliyetengeneza Chloroquine alikuwa anawaza nini hasa ile harufu bado naisikia dawa ile ili upone ni lazima ukimaliza dosage utapike ndipo upate nafuu.

Mara ya mwisho kutumia ilikua mwaka 2000 sijui kama muuguzi yule wa Minaki Dispensary bado yupo 4X4X2 ule uchungu basi sio wa dunia hii olivia common dosage.
ulikua dawa bora kwa maralia,tulikua tunajikuna hadi ngozi inachubuka
 
mshuwa, kaka, mimi tuna matatizo ya kuckia kwa wakati flan, nadhan hiyo dawa ndio imechangia, mimi mpk ss hiv ni muoga sana wa dawa za vidonge, chanzo chake ni hizo dawa, nackia hata nguvu za kiume kwa waliomeza hizo hawajawa salama, either huzalishi au uume hausimami sawa sawa
 
Bila shaka ile dawa itakuwa mtishamba. Hivi bado zipo?
 
Hizi dawa sikuwahi kuzimeza, mama aliniambia nilikuwa siumwi umwi. Ila kaka yangu zilikuwa zinamuwasha balaa akizimeza.
 
Zilipokatazwa, baada ya miaka miwili ndio ukazaliwa mdogo wangu.
Wewe ni nanii... nafikiri ni mwaka 2000 juzi tu hapa.

baada ya klorokwini zikaja SP. Unazikumbuka?
 
Back
Top Bottom