ulikua dawa bora kwa maralia,tulikua tunajikuna hadi ngozi inachubukaNatafakari, hivi aliyetengeneza Chloroquine alikuwa anawaza nini hasa ile harufu bado naisikia dawa ile ili upone ni lazima ukimaliza dosage utapike ndipo upate nafuu.
Mara ya mwisho kutumia ilikua mwaka 2000 sijui kama muuguzi yule wa Minaki Dispensary bado yupo 4X4X2 ule uchungu basi sio wa dunia hii olivia common dosage.
Kuna jamaa alikuna hadi damu zilimtoka puani Na mdomoni Na masikioniulikua dawa bora kwa maralia,tulikua tunajikuna hadi ngozi inachubuka
Acha uongo, wewe ni kizazi cha mseto.nilikuwa nikizimeza hizo au Kwinini.. maskio yanalia diiiii iiiiiiii siku nzima.
klorokwini na kwinini zimeondolewa mwaka gani?Acha uongo, wewe ni kizazi cha mseto.
Zilipokatazwa, baada ya miaka miwili ndio ukazaliwa mdogo wangu.klorokwini na kwinini zimeondolewa mwaka gani?
Wewe ni nanii... nafikiri ni mwaka 2000 juzi tu hapa.Zilipokatazwa, baada ya miaka miwili ndio ukazaliwa mdogo wangu.
Hahahaaaa!! Kweli kabisa, na ndipo nawe ukazaliwa.Wewe ni nanii... nafikiri ni mwaka 2000 juzi tu hapa.
baada ya klorokwini zikaja SP. Unazikumbuka?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaaa!! Kweli kabisa, na ndipo nawe ukazaliwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]4, 4, 2
Nadhani huu mfumo wa kucheza FOOTBALL waliugundua kutoka kwenye dozi hii
[emoji23] wanaojichubua watumie hivi vidonge!!! [emoji23] [emoji23]ulikua dawa bora kwa maralia,tulikua tunajikuna hadi ngozi inachubuka
Mie sijawahi kutumia hizi, ila QUININE, NEVAQUINE NA MALERAQUINE NILIWAHI KUTUMIA
Sahihi kabisa mkuu!....Mimi nilikuwa zinaniwasha mwili mzima nikizimeza..
Zilishapigwa marufukuBila shaka ile dawa itakuwa mtishamba. Hivi bado zipo?