Wahenga tukumbushane muziki wa kale

Wahenga tukumbushane muziki wa kale

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
7,258
Reaction score
14,942
Wakati tunapata hizi burudani kina mwegulue walikua wanachunga ng'ombe na sasa nyota zinawang'aria ile mbaya

Tupate burudani na ujumbe pamoja wkt tunajisahaulisha kidogo drama za masisiemu na chawa wake

Karibu...























 

Attachments

Burudani....
 

Attachments

Umeweka nyimbo moja ya mzee Bitchuka ya "siwazuri binadamu"
Kiitikio " hana weeema usimuone kucheka oooooh, mtendeee la muhimu hatoridhika, apita akusalimu moyoni akasirikaa"
Ndugu yangu hiyo nyimbo naitafuta original yake akiwa na kina Gurumo sio huo uliorudiwa..
Naukubali saaana huo wimbo
" Namshukuru mola asiie mshirika, kwa kuiponya roho yangu iliyotaka towekaaa, binadamu madhulumu mwenye vituko vya simu, mwenye vituko vya sumu kali kushinda ya nyoka, siwazuri binadamu mwingi wa hilaa oooooh"
Mwenye nao samahani waungwana
Lakini pia wa Remmy Ongala Uzee " nikikumbuka uzee silaaali ninabaki na mawazo huruuuma
 


















 
Huu uzi unanihusu, majirani mtajijua mi siwezi kupiga singeri
 
Back
Top Bottom