Umeweka nyimbo moja ya mzee Bitchuka ya "siwazuri binadamu"
Kiitikio " hana weeema usimuone kucheka oooooh, mtendeee la muhimu hatoridhika, apita akusalimu moyoni akasirikaa"
Ndugu yangu hiyo nyimbo naitafuta original yake akiwa na kina Gurumo sio huo uliorudiwa..
Naukubali saaana huo wimbo
" Namshukuru mola asiie mshirika, kwa kuiponya roho yangu iliyotaka towekaaa, binadamu madhulumu mwenye vituko vya simu, mwenye vituko vya sumu kali kushinda ya nyoka, siwazuri binadamu mwingi wa hilaa oooooh"
Mwenye nao samahani waungwana
Lakini pia wa Remmy Ongala Uzee " nikikumbuka uzee silaaali ninabaki na mawazo huruuuma